sw_tn/ezr/07/06.md

413 B

Mfalme akampa kila kitu alichoomba

"Mfalme akampa Ezra chochote alichoomba kwake"

mkono wa Yahwe ulikuwa pamoja naye

"mkono" wa Yahwe unawakilisha baraka za Yahwe au kusaidia. AT:"baraka za Yahwe zilikuwa pamoja na Ezra" au "Yahwe alikuwa akimbariki Ezra"

katika mwaka wa saba wa mfalme Artashasta

Hii inarejea mwaka wa saba wa kutawala kwake. AT:"katika mwaka wa saba ambao mfalme alikuwa Artashasta"