sw_tn/ezr/07/01.md

448 B

Taarifa kwa ujumla

ukoo wa Ezra unaenda mpaka kwa kuhani wa kwanza Haruna

Ezra akaja kutoka Babeli

Ezra kuja juu inaweza kutafsiriwa vizuri. AT:"Ezra akaja Yerusalem kutoka Babeli"

Seraya

Tafsiri jina hili kama ulivyofanya katika 2:1

Shalumu

Tafsiri jina la mtu huyu kama ilivyofanya katika 2:40

azaria,Hilkia,...Sadoki,Ahitubu,Amaria,Azaria,Merayothi,Zerahia,Uzi,Buki,Abishua,Fineasi,eliazari

Hii orodha ni majina wanaume wote.