# Taarifa kwa ujumla ukoo wa Ezra unaenda mpaka kwa kuhani wa kwanza Haruna # Ezra akaja kutoka Babeli Ezra kuja juu inaweza kutafsiriwa vizuri. AT:"Ezra akaja Yerusalem kutoka Babeli" # Seraya Tafsiri jina hili kama ulivyofanya katika 2:1 # Shalumu Tafsiri jina la mtu huyu kama ilivyofanya katika 2:40 # azaria,Hilkia,...Sadoki,Ahitubu,Amaria,Azaria,Merayothi,Zerahia,Uzi,Buki,Abishua,Fineasi,eliazari Hii orodha ni majina wanaume wote.