sw_tn/ezr/06/08.md

645 B

Taarifa kwa ujumla

Hii inaendeleza kumbukumbu za Mfalme Koreshi agizo kwa wayahudi kujenga hekalu la Mungu katika Yerusalem, ambapo kilianza katika 6:3

Mchango kutoka kwa mfalme ngambo ya mto utatumika katika kuwalipa hawa wanaume.

Hii inaweza kuelezwa katika mfumo hai. AT:"Kutumia mfuko kutoka kwa mfalme ngambo ya mto utalipa hawa wanaume"

Mfuko kutoka hazina ya mfalme ngambo ya mto

"Hazina ya mfalme" inaamanisha kodi wanazolipa watu kwa mfalme. AT:"Pesa ktoka kwenye kodi ambazo mfalme anakusanya kutoka kwa watu ngambo ya mto"

Chochote kinachohitajika

Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"chochote wanachohitaji"