# Taarifa kwa ujumla Hii inaendeleza kumbukumbu za Mfalme Koreshi agizo kwa wayahudi kujenga hekalu la Mungu katika Yerusalem, ambapo kilianza katika 6:3 # Mchango kutoka kwa mfalme ngambo ya mto utatumika katika kuwalipa hawa wanaume. Hii inaweza kuelezwa katika mfumo hai. AT:"Kutumia mfuko kutoka kwa mfalme ngambo ya mto utalipa hawa wanaume" # Mfuko kutoka hazina ya mfalme ngambo ya mto "Hazina ya mfalme" inaamanisha kodi wanazolipa watu kwa mfalme. AT:"Pesa ktoka kwenye kodi ambazo mfalme anakusanya kutoka kwa watu ngambo ya mto" # Chochote kinachohitajika Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"chochote wanachohitaji"