sw_tn/ezr/05/16.md

12 lines
364 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Barua kutoka kwa Tetai kwenda kwa mfalme ambayo ilianza katika 5:6 inaendelea. Tetai inaendelea kumwambia mfalme kile ambacho wayahudi wamemwambia yeye mwanzoni katika 5:11
# imeshajengwa, lakini bado haijakamilika
Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"watu sasa wanajenga, lakini bado hajakamilisha kazi yote"
# kujengwa
kujenga