sw_tn/ezr/05/16.md

364 B

Taarifa kwa ujumla

Barua kutoka kwa Tetai kwenda kwa mfalme ambayo ilianza katika 5:6 inaendelea. Tetai inaendelea kumwambia mfalme kile ambacho wayahudi wamemwambia yeye mwanzoni katika 5:11

imeshajengwa, lakini bado haijakamilika

Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"watu sasa wanajenga, lakini bado hajakamilisha kazi yote"

kujengwa

kujenga