sw_tn/ezr/05/06.md

266 B

Hii ni nakala ya barua

Ezra anahusisha ujumbe wa barua kwa mfalme Dario kuhusiana na kazi ya hekalu.

mji ngambo ya mto

Hili ni jina la mji ambalo ulikuwa magharibi ya mto efrati. Ilikuwa kuvuka mto katika mji wa Susa. Angalia kama ilivyotafsiriwa katika 4:9