# Hii ni nakala ya barua Ezra anahusisha ujumbe wa barua kwa mfalme Dario kuhusiana na kazi ya hekalu. # mji ngambo ya mto Hili ni jina la mji ambalo ulikuwa magharibi ya mto efrati. Ilikuwa kuvuka mto katika mji wa Susa. Angalia kama ilivyotafsiriwa katika 4:9