sw_tn/ezr/04/11.md

418 B

Hii ni nakala

Ezra alijumuisha katika maandishi yake ujumbe wa barua kutuma kwa mfalme Artashasta

mji ngambo ya mto

Hili ni jina la mji ambalo lilikuwa magharibi ya mto Efrati. Ilikuwa ni kuvuka mto kutoka mji wa Susa. Tafsiri kama katika 4:9

mji wa uasi

Mji ni kwa watu wanaoishi hapo. AT:"mji ambao walipanga kuishi na kuwapinga ninyi"

wamekarabati msingi

"kukamilisha msingi" au "kurekebisha msingi"