# Hii ni nakala Ezra alijumuisha katika maandishi yake ujumbe wa barua kutuma kwa mfalme Artashasta # mji ngambo ya mto Hili ni jina la mji ambalo lilikuwa magharibi ya mto Efrati. Ilikuwa ni kuvuka mto kutoka mji wa Susa. Tafsiri kama katika 4:9 # mji wa uasi Mji ni kwa watu wanaoishi hapo. AT:"mji ambao walipanga kuishi na kuwapinga ninyi" # wamekarabati msingi "kukamilisha msingi" au "kurekebisha msingi"