sw_tn/ezr/03/08.md

653 B

mwezi wa pili

Huu ni mwezi wa pili kwa kalenda ya Kiebrania. Hiki ni kipindi cha kiangazi wakati watu wanavuna mazao. Ni kipindi cha mwisho mwezi wa nne na sehemu ya kwanza kwa mwezi wa tano kwa kalenda ya magharibi.

mwaka wa pili

Hii ilikuwa ni kipindi cha mwaka ambacho baadae walirudi

kwa nyumba ya Mungu

Unapaswa kufanya uchunguzi kwamba kulikuwa hakuna nyumba ya mungu iliyokuwepo wakati wanafika.AT:"ni wapi nyumba ya Mungu ilisimamishwa" au "ni wapi walipotaka kujenga nyumba ya Mungu"

Yeshua...Yosadaki...Henadadi

Haya ni majina ya wanaume

miaka ishirini

"20 miaka"

Kadmiel

Hili ni jina la mtu. Tafsiri kama katika 2:40