# mwezi wa pili Huu ni mwezi wa pili kwa kalenda ya Kiebrania. Hiki ni kipindi cha kiangazi wakati watu wanavuna mazao. Ni kipindi cha mwisho mwezi wa nne na sehemu ya kwanza kwa mwezi wa tano kwa kalenda ya magharibi. # mwaka wa pili Hii ilikuwa ni kipindi cha mwaka ambacho baadae walirudi # kwa nyumba ya Mungu Unapaswa kufanya uchunguzi kwamba kulikuwa hakuna nyumba ya mungu iliyokuwepo wakati wanafika.AT:"ni wapi nyumba ya Mungu ilisimamishwa" au "ni wapi walipotaka kujenga nyumba ya Mungu" # Yeshua...Yosadaki...Henadadi Haya ni majina ya wanaume # miaka ishirini "20 miaka" # Kadmiel Hili ni jina la mtu. Tafsiri kama katika 2:40