sw_tn/ezr/01/07.md

589 B

Mithredathi......... Sheshbaza

Haya ni majina ya wanaume

akaviweka katika mikono ya Mithredathi mtunza fedha

Kuweka kitu katika mikono ya mtu ni fumbo la kumruhusu mtu kufanya kile anachotaka kwa kitu ulichompa. Hapa wasomaji waelewe kwamba Koreshi alitegemea Methredathi kufanya ambacho Koreshi alimtaka akifanye.AT:"kumweka Methredathi mtunza fedha kiongozi wao" au "kumweka Methredathi mtunza fedha kuwajibika kwa ajili yao"

mtunza fedha

kiongozi mhusika wa fedha

akavitoa na kuvihesabu kwa Sheshbaza

kuhakikisha kwamba Sheshbaza anafahamu kwa uhakika vitu vyote vilivyo