sw_tn/ezr/01/07.md

16 lines
589 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mithredathi......... Sheshbaza
Haya ni majina ya wanaume
# akaviweka katika mikono ya Mithredathi mtunza fedha
Kuweka kitu katika mikono ya mtu ni fumbo la kumruhusu mtu kufanya kile anachotaka kwa kitu ulichompa. Hapa wasomaji waelewe kwamba Koreshi alitegemea Methredathi kufanya ambacho Koreshi alimtaka akifanye.AT:"kumweka Methredathi mtunza fedha kiongozi wao" au "kumweka Methredathi mtunza fedha kuwajibika kwa ajili yao"
# mtunza fedha
kiongozi mhusika wa fedha
# akavitoa na kuvihesabu kwa Sheshbaza
kuhakikisha kwamba Sheshbaza anafahamu kwa uhakika vitu vyote vilivyo