sw_tn/ezk/48/19.md

379 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Israeli.

Kwa njia hii mtatengeneza matoleo matakatifu ya nchi, pamoja na nchi kwa ajili mji

"Utatoa sadaka takatifu na pia mali ya mji"

ninyi

Huu wingi unarejea kwa watu wa Israeli.

sadaka takatifu

nchi ambayo watu wa Israeli waliyopewa na Yahwe kwa ajili ya Walawi, makuhani, na hekalu