sw_tn/ezk/48/19.md

16 lines
379 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Israeli.
# Kwa njia hii mtatengeneza matoleo matakatifu ya nchi, pamoja na nchi kwa ajili mji
"Utatoa sadaka takatifu na pia mali ya mji"
# ninyi
Huu wingi unarejea kwa watu wa Israeli.
# sadaka takatifu
nchi ambayo watu wa Israeli waliyopewa na Yahwe kwa ajili ya Walawi, makuhani, na hekalu