sw_tn/ezk/47/18.md

310 B

Tamari

ni mji kama kilomita thelathi ni mbili kusini magharibi kutoka sehemu ya kusini ya Bahari ya Chunvi

Meriba Kadeshi

ni sehemu ya mpaka kati ya Israeli na Misri, nusu ya njia kati ya Bahari ya Shamu na Bahari ya Mediteria

kijito cha Misri

ni bonde kubwa sana katika sehemu ya kaskazi mwa Sinai