# Tamari ni mji kama kilomita thelathi ni mbili kusini magharibi kutoka sehemu ya kusini ya Bahari ya Chunvi # Meriba Kadeshi ni sehemu ya mpaka kati ya Israeli na Misri, nusu ya njia kati ya Bahari ya Shamu na Bahari ya Mediteria # kijito cha Misri ni bonde kubwa sana katika sehemu ya kaskazi mwa Sinai