sw_tn/ezk/47/01.md

202 B

kuelekea mashariki

Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 40:5.

hata kulia kwa madhabahu

Huu ni upande wa kulia wa madhabahu wakati mtu alionekana katika huo wakati walipoelekea mashariki.