# kuelekea mashariki Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 40:5. # hata kulia kwa madhabahu Huu ni upande wa kulia wa madhabahu wakati mtu alionekana katika huo wakati walipoelekea mashariki.