sw_tn/ezk/45/21.md

294 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wana mfalme wa Israeli.

Katika siku ya mwezi siku ya kumi na nne ya mwezi

Huu ni mwezi wa kalenda ya Kiebrani.

kwa ajili yanu

Neno "yenu" ni wingi na inarejea kwa mwana mfalme na watu wengine wa nyumba ya Israeli.