# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wana mfalme wa Israeli. # Katika siku ya mwezi siku ya kumi na nne ya mwezi Huu ni mwezi wa kalenda ya Kiebrani. # kwa ajili yanu Neno "yenu" ni wingi na inarejea kwa mwana mfalme na watu wengine wa nyumba ya Israeli.