sw_tn/ezk/45/13.md

20 lines
457 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wana mfalme wa Israeli.
# kwa kila homeri ya ngano
Inaonyesha kwamba hiki kiasi cha ngano ambacho watu huvuna. "kwa kila homeri ya ngano kutoka mavuno."
# Maelekezo ya sadaka ya mafuta itakuwa
"Hii ni kanuni kuhusu mafuta, kuhusu birika la mafuta
# mwagilia mikoa ya Israeli
"sehemu za Israeli zinazopata kiasi kizuri cha maji"
# itatumika
"Utatumia hii migawanyiko kwa ajili"