sw_tn/ezk/45/13.md

457 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wana mfalme wa Israeli.

kwa kila homeri ya ngano

Inaonyesha kwamba hiki kiasi cha ngano ambacho watu huvuna. "kwa kila homeri ya ngano kutoka mavuno."

Maelekezo ya sadaka ya mafuta itakuwa

"Hii ni kanuni kuhusu mafuta, kuhusu birika la mafuta

mwagilia mikoa ya Israeli

"sehemu za Israeli zinazopata kiasi kizuri cha maji"

itatumika

"Utatumia hii migawanyiko kwa ajili"