sw_tn/ezk/45/09.md

350 B

Inatosha kwa ajili yako

"Umefanya mengi kwa ajili ya hii"

vipimo

ni kifaa ambacho kilichokuwa kikitumika kupimia vitu ambavyo watu walivyovinunua au kuuza

ili kwamba birika liwe la homeri

"ili kwamba mabirika yatakuwa kiasi sawa kama homeri"

homeri

kama lita 220

shekeli

kama gram 11

gera

kama gram 0.55

mane

kama gram 660