# Inatosha kwa ajili yako "Umefanya mengi kwa ajili ya hii" # vipimo ni kifaa ambacho kilichokuwa kikitumika kupimia vitu ambavyo watu walivyovinunua au kuuza # ili kwamba birika liwe la homeri "ili kwamba mabirika yatakuwa kiasi sawa kama homeri" # homeri kama lita 220 # shekeli kama gram 11 # gera kama gram 0.55 # mane kama gram 660