sw_tn/ezk/44/28.md

16 lines
340 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli kuhusu uzao wa Zadoki ambaye hutumika kama makuhani.
# na ninyi
Hili neno "ninyi" linarejea kwa watu wa Israeli.
# mali
nchi ambayo mtu humiliki na hutumia kuandaa kwa ajili ya mahitaji ya familia yake
# katika Israeli
"katika nchi ya Israeli"