sw_tn/ezk/44/17.md

449 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli kuhusu uzao wa Zadoki wanao tumika kama makuhani.

Kwa hiyo itakuwa hivyo

"Kwa hiyo"

ua wa ndani

Tazama tafsiri yake katika sura ya 8:16.

kitani

Tazama tafsiri yake katika sura ya 9:1.

sufu

ngua iliyotengenezwa kwa nywele laini za kondaa

vilemba

Kilemba ni kitu kinachofunika kichwani ambacho kimetengenezwa na nguo ndefu kuzunguka kichwa.