# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli kuhusu uzao wa Zadoki wanao tumika kama makuhani. # Kwa hiyo itakuwa hivyo "Kwa hiyo" # ua wa ndani Tazama tafsiri yake katika sura ya 8:16. # kitani Tazama tafsiri yake katika sura ya 9:1. # sufu ngua iliyotengenezwa kwa nywele laini za kondaa # vilemba Kilemba ni kitu kinachofunika kichwani ambacho kimetengenezwa na nguo ndefu kuzunguka kichwa.