sw_tn/ezk/44/13.md

28 lines
443 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia ezekieli ujumbe kwa nyumba ya Israeli.
# Wao
"Hawa Walawi"
# Watakuja karibu
Tazama tafsiri yake katika sura ya 40:46.
# watabeba lawama zao na hatia
"wataaibika na kuteseka matokeo"
# matendo ya machukizo
Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:9.
# watunzaji
mtu ambaye kazi yake ni kulinda au kuangalia kitu au mtu
# kitakacho fanyika ndani yake
"kwamba wanataka kufanya ndani yake."