sw_tn/ezk/44/13.md

443 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia ezekieli ujumbe kwa nyumba ya Israeli.

Wao

"Hawa Walawi"

Watakuja karibu

Tazama tafsiri yake katika sura ya 40:46.

watabeba lawama zao na hatia

"wataaibika na kuteseka matokeo"

matendo ya machukizo

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:9.

watunzaji

mtu ambaye kazi yake ni kulinda au kuangalia kitu au mtu

kitakacho fanyika ndani yake

"kwamba wanataka kufanya ndani yake."