sw_tn/ezk/43/01.md

255 B

Tazama!

Neno "tazama" hapa linatutahadharisha kuwa makini kwa habari ya kushangaza inayofuata.

kama mlio wa maji mengi

Tazama tafsiri yake katika sura ya 1:24, "Kama sauti ya maji yanayotiririka.

nchi iling'aa

"nchi ilikuwa na mg'ao wa mwanga"