sw_tn/ezk/43/01.md

12 lines
255 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tazama!
Neno "tazama" hapa linatutahadharisha kuwa makini kwa habari ya kushangaza inayofuata.
# kama mlio wa maji mengi
Tazama tafsiri yake katika sura ya 1:24, "Kama sauti ya maji yanayotiririka.
# nchi iling'aa
"nchi ilikuwa na mg'ao wa mwanga"