sw_tn/ezk/40/28.md

499 B

ua wa ndani

Tazama tafsiri yake katika 8:16.

vyumba vya ndani

Tazama tafsiri yake katika 40:5.

varanda

Tazama tafsiri yake katika 8:18.

dhiraa

Tazama tafsiri yake katika 40:5.

dhiraa hamsini

kama mita 27.

dhiraa ishirini na tano

dhiraa tano -kama mita 13.5

dhiraa tano

kama mita 2.7

Hii varanda ilielekea ua wa nje

"varanda ilikuwa mbele ya ua wa nje." Watu wangeweza kwenda ndani na nje yake kutoka kwenye ua.

pamoja na mitende

"na ilikuwa na mapango ya mitende"