# ua wa ndani Tazama tafsiri yake katika 8:16. # vyumba vya ndani Tazama tafsiri yake katika 40:5. # varanda Tazama tafsiri yake katika 8:18. # dhiraa Tazama tafsiri yake katika 40:5. # dhiraa hamsini kama mita 27. # dhiraa ishirini na tano dhiraa tano -kama mita 13.5 # dhiraa tano kama mita 2.7 # Hii varanda ilielekea ua wa nje "varanda ilikuwa mbele ya ua wa nje." Watu wangeweza kwenda ndani na nje yake kutoka kwenye ua. # pamoja na mitende "na ilikuwa na mapango ya mitende"