sw_tn/ezk/40/20.md

373 B

chumba cha ndani

Tazama tafsiri yake katika 40:5.

kivaranda

Tazama tafsiri yake katika 8:16.

kipimo kile kile

"kulikuwa na kipimo kile kile"

dhraa hamsini

kama mita ishirini na saba.

dhiraa

Tazama tafsiri yake katika sura ya 40:5.

dhiraa ishirini na tano

dhiraa tano -kama mita 13.5

lango kuu

lango ambalo lilikuwa upande wa magharibi mwa hekalu