# chumba cha ndani Tazama tafsiri yake katika 40:5. # kivaranda Tazama tafsiri yake katika 8:16. # kipimo kile kile "kulikuwa na kipimo kile kile" # dhraa hamsini kama mita ishirini na saba. # dhiraa Tazama tafsiri yake katika sura ya 40:5. # dhiraa ishirini na tano dhiraa tano -kama mita 13.5 # lango kuu lango ambalo lilikuwa upande wa magharibi mwa hekalu