sw_tn/ezk/40/17.md

472 B

uwanja wa ndani

Tazama tafsiri yake katika sura ya 10:3.

Tazama!

Neno "Tazama" hapa linatuonyesha kwamba Ezekieli ameona kitu kinachovutia.

kibamba

sakafu iliyo sawa swa iliyotengenezwa kwa matofali

pamoja navyumba thelathini karibu na kibamba

"na kulikuwa na vyumba thelathini vyote vimezunguka kibamba."

kupanda kuelekea

"kwenda moja kwa moja kuelekea"

dhiraa mia moja

Kama mita hamsini na nne.

dhiraa

Tazama tafsiri yake katika sura ya 40:5.