sw_tn/ezk/40/17.md

28 lines
472 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# uwanja wa ndani
Tazama tafsiri yake katika sura ya 10:3.
# Tazama!
Neno "Tazama" hapa linatuonyesha kwamba Ezekieli ameona kitu kinachovutia.
# kibamba
sakafu iliyo sawa swa iliyotengenezwa kwa matofali
# pamoja navyumba thelathini karibu na kibamba
"na kulikuwa na vyumba thelathini vyote vimezunguka kibamba."
# kupanda kuelekea
"kwenda moja kwa moja kuelekea"
# dhiraa mia moja
Kama mita hamsini na nne.
# dhiraa
Tazama tafsiri yake katika sura ya 40:5.