sw_tn/ezk/40/05.md

870 B

kuzunguka eneo la hekalu

"kuelekea moja kwa moja kuzunguka eneo la hekalu"

dhiraa sita urefu

"dhiraa sita urefu." Hii ilikuwa kama mita 3.2.

kila "urefu" unalingana na dhiraa na ujazo wa kiganja

Kila urefu wa dhiraa ulikuwa kama sentimita 54.

ujazo wa kiganja

"upana wa mkono." Hii ilikuwa kama sentimita 8.

upana wa ukuta

"ni jinsi gani ukuta ulikuwa mpana." Ukuta ulikuwa mpana kama jengo.

mwanzi mmoja

"ilikuwa mwanzi mmoja upana." Hii ni kama mita 3.2.

urefu mwanzi mmoja

"na mwanzi mmoja urefu"

panda ngazi zake

"na alipanda ngazi za lango"

kina

"kutoka mbele ya kizingiti hata nyuma"

vyumba vya ulinzi

Kulikuwa na vyumba vilivyokuwa vimejengwa ndani ya lango ambavyo walikaa walinzi kulinda lango.

dhiraa tano

kama mita 2.7.

kati ya vyumba viwili

"kati ya vyumba"

varanda

Tazama tafsiri yake katika sura ya 8:16.