sw_tn/ezk/40/05.md

52 lines
870 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kuzunguka eneo la hekalu
"kuelekea moja kwa moja kuzunguka eneo la hekalu"
# dhiraa sita urefu
"dhiraa sita urefu." Hii ilikuwa kama mita 3.2.
# kila "urefu" unalingana na dhiraa na ujazo wa kiganja
Kila urefu wa dhiraa ulikuwa kama sentimita 54.
# ujazo wa kiganja
"upana wa mkono." Hii ilikuwa kama sentimita 8.
# upana wa ukuta
"ni jinsi gani ukuta ulikuwa mpana." Ukuta ulikuwa mpana kama jengo.
# mwanzi mmoja
"ilikuwa mwanzi mmoja upana." Hii ni kama mita 3.2.
# urefu mwanzi mmoja
"na mwanzi mmoja urefu"
# panda ngazi zake
"na alipanda ngazi za lango"
# kina
"kutoka mbele ya kizingiti hata nyuma"
# vyumba vya ulinzi
Kulikuwa na vyumba vilivyokuwa vimejengwa ndani ya lango ambavyo walikaa walinzi kulinda lango.
# dhiraa tano
kama mita 2.7.
# kati ya vyumba viwili
"kati ya vyumba"
# varanda
Tazama tafsiri yake katika sura ya 8:16.