sw_tn/ezk/39/21.md

20 lines
446 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kuhusu Gogu.
# Nitauweka utukufu wangu kati ya mataifa
"nitayafanya mataifa kuona utukufu wangu"
# hukumu yangu ninayoionyesha na mkono wangu nimeuweka juu yao
Maneno haya yote yanarejea kwa hukumu ambayo Yahwe ataadhibu juu ya Israeli.
# mkono wangu
Hapa neno "mkono" inarejea uweza wa Yahwe ambao huutumia kuleta hukumu.
# juu yao
"juu ya watu wa jeshi kubwa la Gogu"