sw_tn/ezk/39/21.md

446 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kuhusu Gogu.

Nitauweka utukufu wangu kati ya mataifa

"nitayafanya mataifa kuona utukufu wangu"

hukumu yangu ninayoionyesha na mkono wangu nimeuweka juu yao

Maneno haya yote yanarejea kwa hukumu ambayo Yahwe ataadhibu juu ya Israeli.

mkono wangu

Hapa neno "mkono" inarejea uweza wa Yahwe ambao huutumia kuleta hukumu.

juu yao

"juu ya watu wa jeshi kubwa la Gogu"