sw_tn/ezk/39/19.md

220 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa ndege na wanyama wa porini.

farasi

"watu ambao huendesha farasi."

hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.