# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa ndege na wanyama wa porini. # farasi "watu ambao huendesha farasi." # hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.