sw_tn/ezk/37/18.md

719 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekili.

watakaponena na wea na kusema

Tazama tafsiri yake katika sura ya 33:23.

haya mambo yako yana maana gani

"fimbo zako nina maana gani" au "kwa nini upo na hizi fimbo"

Tazama!

"Ona" au "Sikia!"

chipukizi la Yuda

"chipukizi la Yuda." Hii inawakilisha utawala wa Israeli.

lipo kwenye mkono wa Efraimu

Neno "mkono" linarejea kwa uweza. "ambalo ni kabila la Efraimu kutawala"

kabila za Israeli wenzake

"makabila mengine ambayo ni wenzao na Israeli. au "makabila mengine ya Israeli ambayo ni sehemu ya huo ufalme"

tawi la Yuda

"fimbo ya Yuda." Hii inawakilisha ufalme wa yuda.

mbele ya macho yao

Tazama tafsiri yake katika sura ya 21:16.