sw_tn/ezk/37/18.md

36 lines
719 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena na Ezekili.
# watakaponena na wea na kusema
Tazama tafsiri yake katika sura ya 33:23.
# haya mambo yako yana maana gani
"fimbo zako nina maana gani" au "kwa nini upo na hizi fimbo"
# Tazama!
"Ona" au "Sikia!"
# chipukizi la Yuda
"chipukizi la Yuda." Hii inawakilisha utawala wa Israeli.
# lipo kwenye mkono wa Efraimu
Neno "mkono" linarejea kwa uweza. "ambalo ni kabila la Efraimu kutawala"
# kabila za Israeli wenzake
"makabila mengine ambayo ni wenzao na Israeli. au "makabila mengine ya Israeli ambayo ni sehemu ya huo ufalme"
# tawi la Yuda
"fimbo ya Yuda." Hii inawakilisha ufalme wa yuda.
# mbele ya macho yao
Tazama tafsiri yake katika sura ya 21:16.