sw_tn/ezk/37/13.md

293 B

Maelezo ya Jumla:

Haya ni maneno ya Yhawe kwa watu wa Israeli.

watajua yakwamba mimi ndimi Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6.

mabaki ya nchi yako

"kuishi kwa amani katika nchi yako mwenyewe"

hili ni tangazo la Yahwe

Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 5:11.