# Maelezo ya Jumla: Haya ni maneno ya Yhawe kwa watu wa Israeli. # watajua yakwamba mimi ndimi Yahwe Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6. # mabaki ya nchi yako "kuishi kwa amani katika nchi yako mwenyewe" # hili ni tangazo la Yahwe Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 5:11.